Mambo vipi wanaJF
Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata Mawenzi, , bajeti yangu ni 100,000 kushuka chini yaani isizidi laki moja, kwa hiyo kama kuna mwenye...