Habari wana MMU,
Nitakua naweka mada kila Ijumaa zinazohusu mambo mbalimnali kama wanawake, watoto, mahusiano nk. Lengo la mada hizi ni kutoa elimu kwa jamii.
Mada hizo zitakuwa zinawasilishwa mapema na Mjadala utaanza saa sita mchana.
Mimi ninaomba Moderators watusaidie kuongoza mjadala huu...