Habari za muda, ndugu zangu.
Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...