'Tanzania, kutoka kuwa ndovu kuja kuwa kunguni'.
Hakika Tanzania katika ushawishi wa kidiplomasia Afrika, duniani, imekuwa si chochote. Jana, mkataba muhimu wa amani baina ya Ethiopia na wapiganaji wa TPLF wa Tigray ulitiwa saini huko Afrika ya Kusini. Nani alikuwepo huko? Kenya, Afrika Kusini...