Habari wakuu!
Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?
Amani iwe nanyi!
Nahitaji kuweka dish la FTA ila nataka niweze kupata channels nyingi zaidi bila kulipia kila mwezi. Dish la kawaida la FTA hapa Moshi linakuwa na channels kadhaa za hapa nchini pamoja na channels kama Emmanuel TV, TBN na chache nyingine FREE. Ila nataka nipate channels zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.