fta

  1. DSTV fanyeni jitihada kuongeza FTA channels za Tanzania

    Uongozi wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za Tanzania, badala ya kuturundikia channels za Kenya tu
  2. C

    Ipi ni receiver bora ya FTA kwa sasa?

    Habari wakuu! Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?
  3. M

    Nitapataje channels nyingi FREE kwa dish?

    Amani iwe nanyi! Nahitaji kuweka dish la FTA ila nataka niweze kupata channels nyingi zaidi bila kulipia kila mwezi. Dish la kawaida la FTA hapa Moshi linakuwa na channels kadhaa za hapa nchini pamoja na channels kama Emmanuel TV, TBN na chache nyingine FREE. Ila nataka nipate channels zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…