Wakuu
CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC
==
Timu ya Simba Sports Club imeamriwa kucheza mchezo mmoja bila mashabiki na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufuatia vurugu zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi dhidi ya CS Sfaxien.
Adhabu hiyo itaathiri mchezo wao wa nyumbani...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba.
Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine.
Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
Hii nchi kuna makosa huwa mnafunga watu miaka mingi lakini ni ya kawaida sana.
Kosa la kung'oa viti ni kosa la uhujumu uchumi. Hao ndio watu wasiojali kuharibu hata miundo mbinu mingine ya serikali kama alama na taa za barabarani.
Serikali haitakiwi kucheka na nyani.Wafungwe gerezani na kazi...
Wakuu,
Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji.
Jeshi la Polisi lilibainisha kuwa mashabiki wa CS Sfaxien walihusika moja kwa moja kung’oa viti 256 na kuanzisha vurugu baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.