Habari za muda huu, ni matumaini yangu mwaka umeanza salama.
Bila kupoteza muda, ninaomba kwa wenye ufahamu kuhusu suala langu. Nina friji jipya kabisa la kampuni ya AILYONS, nililinunua mwezi wa 10. Mwanzo halikuwa na shida yoyote, lakini sasa linashindwa kuendelea na kazi yake kwa muda...
Habari wanaJF.
Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto, karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo Kisemvule.
Huduma zetu ni door to door.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie:
0694575787,0774497962
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.