Habari za muda huu, ni matumaini yangu mwaka umeanza salama.
Bila kupoteza muda, ninaomba kwa wenye ufahamu kuhusu suala langu. Nina friji jipya kabisa la kampuni ya AILYONS, nililinunua mwezi wa 10. Mwanzo halikuwa na shida yoyote, lakini sasa linashindwa kuendelea na kazi yake kwa muda...