Hawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia.
Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya simenti kumbe inatakiwa 80 tofauti kubwa kabisa na umejipigapiga umeanza ujenzi inaishia katikati...