fundi simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  2. Kumbe fundi simu anaweza kuingiza laki moja kwa siku?

    Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza alinambia kanunua nyumba ya million 18, kwa mwezi hakosi million moja kama faida, alinambia na...
  3. Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  4. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  5. Fundi simu anayeweza kunirekebishia hii simu anicheck

    Simu ni LG G8 thinq Ipo locked na mtandao wa China Unicom. Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G. Mitandao...
  6. Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  7. Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  8. Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  9. Nahitaji fundi simu mwaminifu na mtulivu kwenye kazi yake, anayeijali kazi yake na ya mteja

    Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…