Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
Je unatafuta Fundi tiles (Fundi Vigae) (Fundi ceramics)?
Kwa design nzuri na ubora wa nymba yako, tonaoatikana Dodoma.
Tuna uzoefu wa miaka zaidi ya kumi
Tunakufanyia free consultation na gharama za kazi yote pamoja na vipimo
Piga Namba 0757915043
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.