Wazee natafuta fundi ujenzi anayeweza kufanya kazi inayoeleweka sio kuja kuharibu kazi maana pesa inatumika nipo serious wazee anayeweza kazi aje pm kazi ipo dar
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi.
1. Tumia Mitandao...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora.
Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
Anonymous
Thread
afariki dunia
afrika
afrika mashariki
biashara
fundiujenzi
huduma
mradi
ubungo
ujenzi
Habari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja. Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.
Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza...
Hello
Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice.
Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote.
Namba yangu Ni 0614899688
Habarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
Ndugu zangu wa Jamii,
Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur.
Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.