Mimi ni muislamu lakini nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu inapofika jioni mtu anakula kama mchwa, yaani kila kitu anataka akile, matokeo yake anashindwa hata kufanya ibada.hivi kweli kwa style hii lengo litafikiwa kweli? Au ndio watu wanapoteza muda.
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani
Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu.
Stand as a man...
Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani.
Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF,
Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili:
LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.
Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.
Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji...
Baada ya kuandika post ambayo ilikuwa inahusiana na Dhana ya Futari na Daku kumeibuka maswali mengi na kashfa nyingi kuhusiana na funga ya Waislamu kwamba, wamebadili ratiba ya kula,mara sijui wanakula usiku mzima na bla bla bla nyingine kibao.
Sasa Jamiiforums ni jukwaa la elimu na maarifa...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.
1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja...
Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100
1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani.
2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao
3.Smartphone zitakuwa kama...
Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani
Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa siku 3 hadi siku tano kutegemeana na aina ya ugonjwa wako wenyewe.
Siku moja kabla ya kufunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.