Kabla usiku haujawa mnene....
Mwaka 2021 unaisha kwa namna yake kwa upande wa Bi Kasinde.
Kuna jambo limenibidi/limenifanya nifanye maamuzi manene/mazito yenye/yasiyo na mashiko.....
Mlango wa Mahaba umefungwa rasmi!
Ndio chemchem ya Mahaba imekufa ndani ya Bi Kasinde.
Ilinipasa nipite PM...
Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija.
Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara...
Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia ukiweke kwenye mpango kazi wako.
Nianze kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya Wizara ya fedha, hongera...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya masimulizi ya kiimani ambayo yalinivutia sana tangu zamani ni safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi wakiongozwa na Nabii Musa. Simulizi hili nimelisoma mara nyingi na kila ninapolisoma Napata mafunzo mapya. Hata hivyo mojawapo ya mafunzo...
Ni matumaini yangu makubwa Krav Maga hivi ninavyopishana na Kanzu nyingi nyeupe Mitaani leo basi hata Wahusika nae kwa Miezi 11 ijayo nao Roho zao zitakuwa Nyeupe hivyo hivyo.
Ushauri wa bure wengine ambao huwa hampendi Kuvaa Kanzu au hamjazoea Kuzivaa basi muanze Kuchukua Mazoezi taratibu ya...
Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021.
Kwa mujibu wa mufti wa Tanzania, waislamu wataanza kufunga tarehe 14/04/2021.
Nachukua fursa hii kuwatakia mfungo...
Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.
My Take:
Natengua msamaha...
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar.
====
MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR
Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021.
Mwili wa...
Ngoma mpya ya king kiba nakupenda ni hatari na nusu. Imefunika ngoma zote mwaka huu.
Ni bonge moja la collabo la kimataifa ikiwa inakaribia views laki nne ndani ya masaa 18 tangu iachiwe huko YouTube.
Hakika mwamba umeshindikana. Unajua kile mashabiki zako tunapenda.
Yoooh ye baba bado...
Vigezo na mashart kuzingatiwa
Thread lazima iwe kati ya 1dec 2020 mpaka 1.1.21
Jukwaa lolote
Yenye views weng
Yenye likes nyings
Yenye pages nying
Yenye comment nying
Ni ipi???
Muda bado...tuendelee kuzitafuta
Deadline ni 1.12021
Dau halipo ilA pongezi na HONGERA.. atatangaza mwenyewe...
Kama wewe upo town au sehemu yoyote ila ni muumini wa swag za kinjanja basi leo nakuletea wallet na saa ambazo zitaongeza thamani ya muonekano wako. Saa utaipata kwa sh 60000 na wallet ni sh 20000 ukitaka vyote kwa ujumla sh 80000
Dsm tunakuletea mpaka ulipo mkoani tunatuma pia.
Unaweza...
Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
HOTUBA YA DKT. MAGUFULI
....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
Habari Wadau wa Jamii Forum,
Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
“ Wasichana msiolewe na wanaume mnaowazidi umri au mnaolingana, maana wanaume huoa baada ya kuwachoka mama zao, hivyo akirudi nyumbani akakukuta unafanana na mama yake lazima ahame tu ” Bw.Alfred Luvanda - Makamu wa Rais wa shirikisho la vyama vya wachimba madini Tanzania.
Chanzo Habari: ITV...