Wakristo wenzangu naombeni majibu.
Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale.
kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa kabila la Walawi kwa ajili ya kazi yao katika hema la kukutania.
Leo tunaambiwa tupo kwenye agano...
Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26
[22]Usiache kutoa zaka ya...
Nimekaa mahali hapa kuna redio ya kanisa moja la Arusha inanguruma. Kama kawaida ya hawa wahubiri mada kuu ni utoaji.
Nilishasema habari za fungu la kumi si mafundisho ya kikristo. Hata hao wayahudi waliopewa agizo hilo wana mfumo tofauti kabisa wa utoaji tofauti na haya mafundisho ya matapeli...
Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk.
Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
Hi? Mnaonaje fungu la kumi au sadaka wangepewa wauguzi wa afya na vyuo vyote vinavyotoa mafunzo hayo sababu wanachokifanya katikati maisha ya mwanadamu kinaonekana sababu unaweza zidiwa na magonjwa ukapelekwa hospital na ukatengamaa kama siku zako za kufa hazijafika bado kuliko kuwapa hawa...
Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji.
Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji.
WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA.
Mm na mke wangu...
Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.