True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi.
1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali
2. Watu...
Safari ya kutafuta furaha ya Kweli.
RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu:
Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi maishani? Ratanji Tata alisema:
Nimepitia hatua nne za furaha maishani, na hatimaye alielewa maana ya...
Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma.
Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.