Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze :)
Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani
.
Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea...