Habari
Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana.
Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza kufanya kazi za planning and management , research, consulting nk.
Napatikana DSM #0688165156...