Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa Morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua...