fursa mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipato kupia simu janja na mtandao kinatengenezwaje?

    Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia". Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
  2. Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
  3. SoC02 Elimu ya uraia wa kidijitali mashuleni

    Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...
  4. SoC02 Mageuzi ya Sayansi na Teknolojia ni fursa kwa vijana

    MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia? Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
  5. Spare za Tv, Radio, Computer na nyingine zinazofanana na hizo

    Wasalaam Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
  6. Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
  7. Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…