fursa ya masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
  2. Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  3. Nafasi za Masomo ya Uandishi wa Habari "intake" ya Julai, 2020

    DSJ - JULY INTAKE Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha. SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO 1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza. 2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…