Wakuu habari,
Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila kufunga kwa maana ya masaa 24 nahitaji npate eneo husika mfano mtu akinambia Dodoma mtaa flani itakuwa...
Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo
1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi.
2. Fursa za KIBIASHARA
3. Hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.