fursa za kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Baada ya kusoma dalili za siku za mwisho Mathayo 24, nimegundua kuna fursa za kibiashara ndani yake

    Mathayo 24 inatoa dalili za kubomolewa Yerusalem na Kuja kwa Yesu mara ya pili. Walengwa wa Dalili hizo kwa ukubwa ni waovu, na wacha Mungu kwao ni kama tahadhari wasijisahau. Dalili hizo zinatoa fursa nyingi za kibiashara. Kwa sababu Yesu alitoa agizo la kufanya biashara hadi atakapokuja, ni...
Back
Top Bottom