Wadau hamjamboni nyote?
Waislamu wa madhehebu ya sunni ni asilimia kumi ya jumla ya wakazi wote wanaoishi nchini Iran.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Waislamu hao wa sunni wanabaguliwa na kutendewa vibaya wakihesabika kuwa raia daraja la pili huku wakinyimwa fursa ushiriki kisiasa, kielimu...