Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake.
Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda kushinikiza wanafunzi waache kusoma physics ili wabaki na wale cream ili wasiharibu wastan wa ufauru katika...