futeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  2. S

    Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

    Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii...
  3. Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  4. K

    Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
  5. R

    Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  6. K

    Futeni Kodi ya fire

    Binafsi sioni umuhimu wa kutozwa kodi ya fire kutokana na sababu zifuatazo:- (1) Hakuna chombo cha moto wanachotoa kwa wafanyabiashara. Ingekuwa vema kama wanapotozwa kodi wanagawiwa fire extinguisher kitu ambacho hakipo. (2) Hakuna elimu yeyote wanayotoa kwa wafanyabiashara licha kulipa kodi...
  7. Wapinzani futeni matumaini ya kuachiwa majimbo 2025

    Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi. Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya viongozi waandamizi wa upinzani dhidi ya bodaboda na makundi mengine ya kimkakati nikahisi inaweza...
  8. Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  9. D

    Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  10. CCM kama nyie ni wapenda haki, naomba mfute matokeo ya chaguzi zenu zote za mwaka huu kwasababu zimejaa rushwa 100%

    99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini. Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
  11. D

    Manispaa ya Kinondoni Ondoeni au futeni kabisa minada ya Kunduchi na ule wa Boko-chama

    Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach! Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama! Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...
  12. Ushauri kwa Serikali: Futeni HESLB na fedha zote zielekezwe kwenye ajira mpya za graduates wa vyuo!

    Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re alocation ya bajeti ya mkopo kuwa bajeti ya ajira mpya ili graduates waajiriwe na serikali nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…