Mkalimani na Kiziwi wanatakiwa kuwa kwenye eneo lenye uwazi na mwanga ili alama za mawasiliano ziweze kuonekana na kutafsiriwa kwa usahihi. Mkalimani lazima awe mbobezi kwa kundi au Jamii anayoitafsiria kwa kufahamu lugha yao na utamaduni wao.
Mkalimani anatakiwa kuwa na ujuzi wa mambo mengi...
MKalimani wa lugha ya alama ni mtu aliyesomea fani ya lugha ya alama na kufaulu ukalimani. Ukalimani wa lugha ya alama ni fani kama zilivyo fani nyingine kama uhasibu au udaktari.
Kwa mujibu wa chuo kikuu cha Dar salaam mpaka mwaka 2020 kimefundisha wakalimani takribani mia moja nchini. Ajira...
Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia.
Matumizi ya Mashine ya masikio:
Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
Jinsi ya kuwasaidia Watoto Viziwi ambao ni wahanga wa ukatili kwenye jamii:
Wanajamii wanapaswa kushirikiana na viongozi wa maeneo yao kuwatambua na kufuatilia maendeleo ya Watoto viziwi wanapokuwa nyumbani, kwenye Jamii na shuleni.
FUWAVITA inaihimiza serikali na mashirika binafsi kuweka...
Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia.
Matumizi ya Mashine ya masikio:
Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
Kwa miaka mingi tangu Tanzania ipate uhuru wa bendera haijawahi kutokea kiziwi akapata nafasi katika uongozi , iwe
Ubunge, Udiwani, Umeya, ukuu wa wilaya , Ukuu wa Mikoa, Katibu tawala na hata Ukurugenzi. Katika teuzi za wakurugenzi za Rais Samia hatujaona akiwakumbuka walemavu wa uziwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.