Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika.
Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda...
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI
Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha Ndugu Gabriel Geay katika viwanja vya Bunge ambaye hivi...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania.
Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.