Gabriel Gerald Geay (born 10 September 1996) is a Tanzanian professional long-distance runner. He finished second at the 2023 Boston Marathon.Geay is the Tanzanian national record holder for the marathon.
Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay.
Kampuni ya Posso International Promotions yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imetangaza neema kwa wanariadha wa Kitanzania...
Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03
katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
alphonce simbu
gabrielgeraldgeay
marathon
mashindano ya olimpiki
mwanariadha
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
tanzania
ufaransa
wanariadha wa tanzania
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
alphonce felix simbu
gabrielgeraldgeay
kuagwa
marathon
olimpiki
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
paris
shirikisho la riadha tanzania
tanzania olimpiki 2024
tanzania yashiriki olimpiki
BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi Agosti 11 huko Paris Ufaransa.
Tanzania itawakilishwa na wanariadha wanne ambao wanakimbia mbio ndefu...
KATIKA kuadhimisha Siku ya Afrika 'Africa Day', Tanzania itaadhimisha kwa tukio hilo kwa mbio zitakazokwenda kwa jina la 'Africa Day Marathon' zitakazopambwa na wanariadha nyota wa zamani na wa sasa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wakili...
Mwanariadha wa kimataifa wa mbio ndefu (marathon) Gerald Gabriel Geay ameanzisha kampuni ya utalii inayoitwa Geay Safaris and Tours ambapo makao makuu yake yapo huko Arusha, Tanzania.
Geay ni mwanariadha mwenye mafanikio na mwenye udhamini wa kampuni ya adidas, pia amejichukulia umaarufu Kwa...
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54.
Kesho, Tena wanaingia dimbani...
Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika.
Walichoandika World Athletics (WA);
After a half way split of 1:03:56, they passed 30km together in 1:30:58 but...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili.
Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
Mwanariadha wetu, wa kimataifa wa riadha tanzania , Gabriel Gerald Geay anatarajia kushiriki mashhindano ya Sydney - Marathon , inayotarajiwa kufanyika tarehe 17 Septemba, 2023.
Anaenda kushiriki na wanariadha wengine wenye muda bora.
Geay, ni mwanariadha wa 9 bora duniani kwa muda wake wa saa...
Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo.
Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49.
Mashindando hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.