gabriel martinelli

Gabriel Teodoro Martinelli Silva (born 18 June 2001), known as Gabriel Martinelli, is a Brazilian professional footballer who plays as a forward for Premier League club Arsenal and the Brazil national team.
Born and raised in Guarulhos, Martinelli began his senior club career playing for Ituano, prior to signing for Arsenal in July 2019, aged 18.
At international level, Martinelli represents the Brazil under-23s. He helped Brazil win an Olympic Gold in men's football at the 2020 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

    Nimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee asiyekuwa na timu. Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako...
  2. Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

    Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao. Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…