gachagua aondolewa madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rigathi Gachagua: Rais Ruto alinipa Ksh Bilioni 2 ili nijiuzulu. Aliniambia naweza kugombea Urais mwaka 2027

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu. "Ruto aliniomba nijiuzulu, na kuniahidi KSh2 bilioni. Aliniahidi na ulinzi wa kutosha na marupurupu...
  2. Ushahidi wa Jinsi Mihimili ya Kenya ilivyo huru kulinganisha na ile ya Tanzania huu hapa

    Pamoja na kwamba Bunge la Kenya limemuondoa Madarakani Naibu wa Rais aitwaye Gachagua, Na kufikia hata kumpitisha Naibu Mpya aliyeteuliwa na Rais William Ruto, Lakini shughuli yote hiyo imezimwa na Mahakama ya Nchi hiyo. Hii ni Baada ya Bwana Gachagua kuwasilisha pingamizi Mahakamani, Akipinga...
  3. Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

    Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President. ===== Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani. Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…