Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake.
Wakili wake, Paul Muite, aliwaambia Maseneta kuwa Gachagua alizidiwa baada ya chakula cha mchana wakati akisubiri kesi ya...
https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8
Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge 281 ambao walikubaliana na madai yaliyowasilishwa na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse...
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚
===
Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya...
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa...
Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake
Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa
Gachagua Leo ametoa Siri Kubwa sana tena kishujaa kama Shujaa wa Tanzania
Jirani zetu ni mbumbumbu sana
Mlale Unono 😀
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi
Mchakato huo utafanyika katika kaunti zote 47 na Wetang'ula amebainisha kuwa...
Kwa sasa, kuna mijadala inayoendelea kuhusu hatua ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hatua hii imechochewa na malalamiko ya kisiasa na madai mbalimbali kutoka kwa wapinzani wake na baadhi ya wanasiasa ndani ya serikali. Wanaounga mkono hoja ya kumwondoa Gachagua madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.