Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria.
Soma...
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚
===
Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya...
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ameanza kujitetea mbele ya Wabunge nchini humo ambao wamekuwa wakijadili hoja ya kumuondoa madarakani, kwa tuhuma mbali mbali ikiwa ni pamoja na uhaini, kupata mali kinyume cha sheria na kutoa kauli zinazochochea ukabila...
Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia!
Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo.
Soma Pia:
Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi
Mchakato huo utafanyika katika kaunti zote 47 na Wetang'ula amebainisha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.