Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake
Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa
Gachagua Leo ametoa Siri Kubwa sana tena kishujaa kama Shujaa wa Tanzania
Jirani zetu ni mbumbumbu sana
Mlale Unono 😀
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari.
Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?
Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.
Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.