Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons