galana

  1. Tony254

    Galana Kulalu Project

    Kuna watu walikuwa wanasema kuwa mradi huu umekufa. Tazama video jinsi mradi unavyonawiri joto la jiwe hii inakuhusu
  2. Kafrican

    Jaribio la Tatu: Galana Kulalu Food Securty Project

    Jamaa walijaribu mmara ya kwanza, wakula loss kubwa pesa za kodi yetu, wakatafuta muIsraeli aje ajaribu akashindwa, project ikachukuliwa na wizara ya maji ndani ya departpment ya unyunyizaji (National Irrigation Authority) sasa wanasema kwa kila ekari waligarimika takriban Ksh 45,000 na mavuno...
  3. Z

    Galana-Kulalu

    Ukulima wa mahindi pale Galana-Kulalu (NB: I posted this earlier, but it disappeared, kama iko shida, please tell me so I don’t post it again. I wouldn’t break rules deliberately. Thanks)
Back
Top Bottom