Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
JINA LA STORY: GAMBOSHI
(Malkia wa wachawi)
MTUNZI: MOSSES AGREY
SEASON : 01
EPISODE: 01
Whatsapp No.: +255687409189
call/Text:+255687409189
*
GAMBOSHI
(Malkia Wa Wachawi.)
**
...Ilkuwa ni jioni tulivu mida ya saa kumi na mbili abiria wa basi liendalo mikoani katika nchi ya Tanzania ikiwa...
Nimawasalimia wana JF wote.
Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s.
Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji. Kusema kweli mwanamke huyo sitamsahau katika maisha yangu. Yeye ndiye aliyenifundisha mambo mengi sana...
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata...
Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi.
Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.
Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.