gamboshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kipindi gani unakikumbuka kutoka Radio Free Africa (RFA) ya wakati huo

    Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee? Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
  2. Gamboshi

    JINA LA STORY: GAMBOSHI (Malkia wa wachawi) MTUNZI: MOSSES AGREY SEASON : 01 EPISODE: 01 Whatsapp No.: +255687409189 call/Text:+255687409189 * GAMBOSHI (Malkia Wa Wachawi.) ** ...Ilkuwa ni jioni tulivu mida ya saa kumi na mbili abiria wa basi liendalo mikoani katika nchi ya Tanzania ikiwa...
  3. B

    Makonda asiwatenge Wana CCM Gamboshi

    Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi.
  4. Ukulu ya Gamboshi - (Ufalme chini ya Ardhi)

    Nimawasalimia wana JF wote. Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s. Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji. Kusema kweli mwanamke huyo sitamsahau katika maisha yangu. Yeye ndiye aliyenifundisha mambo mengi sana...
  5. Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

    Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU; 1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata...
  6. Gambosi (Gamboshi) na Nadharia ya uchawi

    Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi. Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…