Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi.
Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba
Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida.
Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1
Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo
Euro Truck Simulator 2
MINIMUM:
OS: Windows 10 64-bit
Processor: Intel Core...
Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
Acer gaming pc
Still iko good condition,(🚨🔥 (POWERFUL PC)
Price 1.2M
Bei yakutupa kazi kwenu gamer and editors,code
Details 👇🏿
Core i5,2.5ghz 7300hq 7th gen ram16gb ddr4 storage 750gb 1 blur fast usb port nvidia gtx 1050ti 4gb
Ndugu zangu , siku ya leo nawaletea SONY PS4 PADS
Full ku enjoy
Hii inaenda kwa 70,000/= tuuuuu
Karibu sana
Tupo kariakoo mtaa wa aggrey/ndanda
Tupigie au wasap - 0659588492
Maongezi yapo ,
Jumla na reja reja
Habari wakuu.
Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo.
Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia...
Habari wana-JF! Nipo na 5m ambayo nafikiria kuwekeza kwenye biashara. Nimepitia mawazo mengi ya biashara ila gaming lounge naona ni biashara nzuri kuanza kwa mtaji nilionao.
Faida ya eneo nilipo ni karibu na chuo, kama tunavyojua vyuoni wengi ni vijana ambao kwa % kubwa wanafuatilia mpira wa...
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze kuagiza parts moja moja kulingana na budget, kipato changu sio kikubwa kihivo.
Mchanganuo wangu ni kama...
Asus Rog STRIX Z390-F
Customized Gaming Desktop
Core i7 9th Generation
SSD 512GB+HDD 3TB
RGB RAM 16GB DDR4
CPU 3.20 GHz 8 Threads
RTX 2060 Super 8GB
Power Supply Modular 600W
Wi-fi Adapter
5 RGB FAN
Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.👇🏾
Rendering ✅
Video Production ✅
Graphics Design✅...
Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.