ganja

  1. Nimevuta Bangi aka ganja na hakuna kilichonitokea niko kawaida kabisa

    Habarin Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata...
  2. Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  3. Kenya 2022 Prof. George Luchiri Wajackoyah: The Ganja presidential candidate who holds 17 degrees

    Kenyans are always great! ===== Roots Party presidential candidate, Professor George Luchiri Wajackoyah, now nicknamed 'Wajackoyah the fifth', paints the image of a reggae artist, what with his durags and professed love for the holy herb. Since declaring that he will be running for...
  4. SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  5. Hi hali inaondokaje katumia kashata za Ganja

    Wakuu Ramadhan Makbour Ni suala lililotokea mwezi wa kumi na moja huyu mdada alipewa kashata anavyodai zilikuwa ni za bhangi mmea, Alipewa na mtu hajui uyo mtu alikuwa na nia gani nae ila baada ya kula alianza kupagawa na kuwehuka kama alienzwa na kichaa Sasa anadai hadi leo anahali ya...
  6. Naacha Ugimbi nabaki na Ganja

    Nimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
  7. Hizi Hapa Faida za Bangi ikitumiwa ipasavyo

    Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ni kusababisha uraibu. Majani ya mmea wa kike wa Mbangi hutumika kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…