garage

  1. M

    Natafuta fundi wa kubandika tiles za Garage (interlocking Garage Floor Tiles)

    Habari, Kama kuna fundi humu ,au mtu anajua fundi mwenye ujuzi wa kubandika hizi tiles za plastic za garage, Site iko Dar es salaam. Anichek PM.
  2. second9

    Kwanini Garage nyingi ni CHAFU?

    Habari wakuu wa JF, Nimeona niandike uzi huu pengine kuna namna wahusika watarekebisha mazingira yao ya kazi kwa wateja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali kwanini garage nyingi ni chafu sijawahi kupata majibu. Yaani unaweza kupeleka gari inaugonjwa mmoja ikatoka na ugonjwa...
  3. rkid49

    Fundi gari dodoma

    Nipeni location ya garage yenye fundi gari anayeaminika DOdoma
  4. darautobroker

    Plot4Rent ENEO LINAPANGISHWA MWANANYAMALA KWA SHOWROOM AU GARAGE

    Kwa Anayehitaji Eneo Kwa Ajili Ya Kuweka SHOWROOM Au GARAGE Hilo Hapo Ni Jipya Kabisa Na Limeshakamilika. Lipo📍 Mwananyamala "A" Barabara Ya Mwinjuma Jijini Dar Es Salaam. Ukubwa Wake Ni 576SQM Na Lina Uwezo Wa Kuweka Hadi Gari 30 Na Kuendelea Pia Kwa Wale Wa Modern Garage Mnakaribishwa. Kodi...
  5. 42774277

    Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  6. Babatunde_seneior

    Karibu Autorex Garage Iringa

    nHabari zenu wakuu kwa aliepo iringa au kama unatarajia kufika iringa. Nakukaribisha autorex garage iringa napatikana Mshindo jilani na benki ya NBC. Huduma zinazo patikana ●Oil change ●kuziba pancha ●kujaza upepo ●kubadilisha matairi Na matengenezo mengine ya gari yako 0755539092 0788887129
  7. SankaraBoukaka

    Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

    Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data Engine swapping ECU Remapping Electrical system maintainance Mechanical...
  8. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
  9. Valencia_UPV

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Wakuu nimeshuhudia hizi gari zikitelekezwa Garage kadhaa hapo Dar. Wamiliki wamechemsha kuzimaintain? Tuachane na kumiliki gari kwa kufuata mkumbo. MC pilipili like X3 lake sijui kalificha wapi siku hizi
  10. Financial

    Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  11. A

    Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
  12. kayanda01

    Springs city garage (wachina) ya Mwanza, huduma zao ni bora? Kunyoosha bodi ya gari

    Wakuu, salaam. Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza. Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa. N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
  13. moneymakerman

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso. Soma zaidi... Dalili za MAF sensor inahitilafu ni, 1. Engine ni ngumu kuwasha. 2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka. 3. Engine inasitasita au...
  14. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  15. Sky Eclat

    Kibonzo cha Kipanya leo kinamhusu kiongozi wa wale 19 walioaposhwa garage

  16. C

    Naomba msaada mwenye hii case ya Tanganyika Garage v. Marcel G. Mafuruki (1975) LRT 23 anisaidie facts na judgment yake

    Wadau naomba msaada mwenye hii case ya Tanganyikaganyika Garage v. Marcel G. Mafuruki (1975) LRT 23 anisaidie facts na judgment yake.
  17. Petro E. Mselewa

    Swali fikirishi: Komredi Polepole na Mama Lulida nao wataapishwa 'pale' walikoapishwa akina Halima Mdee?

    Wawili hao: Pole pole na Lulida leo wameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa nyaraka iliyotoa uteuzi wao, Wabunge hao wateule wataapishwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Taratibu za Bunge. Je, nao...
  18. Jamii Opportunities

    Transport and Garage Manager at Nyanza Bottling Co. Ltd

    Transport and Garage Manager Location: Mwanza Reports to: General Manager Required Qualifications: Bachelor degree/Diploma in Automobile Engineering Experience: 7-10 years of experience in Fleet Maintenance and Transport Operations Management Skills Excellent communication skills both written...
  19. Penguin-1

    Huduma za Kutengeneza Magari

    Tupigie 0743 916 262 kwa huduma za Services za Engine pamoja na vilainishi vyake Services za Gearbox pamoja na vilainishi vyake Diagnosis Kunyoosha Body na Kupaka Rangi Tunapatikana Madale 6 pub njia ya kwenda Atlas Schools
  20. No Escape

    Naomba kujuzwa Garage ya uhakika Bagamoyo Road

    Habari za "Usiku huu wa Manane" Naomba msaada wa garage makini na ya uhakika iliyopo barabara ya Bagamoyo ambayo naweza kufanya service kubwa ya gari langu nina safari ndefu next week. Ahsanteni.
Back
Top Bottom