Gardner G. Habash alizaliwa mwaka 1973 kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake ya utangazaji, pia alikuwa mume wa mwimbaji maarufu Tanzania, Lady Jaydee.
Katika maisha yake, Gardner alianza utangazaji wa redio akiwa Clouds FM, kisha aliondoka na kujiunga na Times FM alikotangaza kipindi cha Masikani. Safari yake ya utangazaji iliendelea alipohamia E FM na kuanzisha kipindi cha Ubaoni, kabla ya kurejea Clouds FM mwaka 2016.
Gardner alifariki dunia alfajiri ya Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na tatizo la shinikizo la damu.
Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa...
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha...
Huyu jamaa alikua kwenye kipindi cha maskani cha Times FM sasa hivi simsikii tena maana nilisafiri kikazi mkoa na uko mkoa Times hamna mwenye data hebu atujuze wajameni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.