Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku...