Wanaotaka kuweka 'Order' ya Tesla Roadster Mpya: Haya hapa mambo ya msingi na malipo kabla ya kuchukua maamuzi!
Wakuu, habari za majukumu!
Kama wewe ni mpenzi wa magari ya kijasiri, teknolojia ya juu, au una ukwasi wako mahali na unafikiria kuagiza lile "dude" jipya la Elon Musk—Tesla Roadster...