gari kustuka ikiwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Lofa

    Msaada: Gari Kushtuka ikiwa kwenye mwendo mdogo

    Wakuu naomba msaada kwa Changamoto ya gari yangu ambayo inachangamoto ya kushutuka na kama kukwama kwama ikiwa intembea kwenye mwendo wa kati ya 20 hadi 40km/h, gari Nissan Xtrail - NT31, mwanzoni mafundi walizani ni missing zinazobabishwa na spark Plug, nilibadili plug lakini tatizo halikuisha...
Back
Top Bottom