Wakuu naomba msaada kwa Changamoto ya gari yangu ambayo inachangamoto ya kushutuka na kama kukwama kwama ikiwa intembea kwenye mwendo wa kati ya 20 hadi 40km/h, gari Nissan Xtrail - NT31, mwanzoni mafundi walizani ni missing zinazobabishwa na spark Plug, nilibadili plug lakini tatizo halikuisha...