Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake.
Pia...
Tuliposema mchango wa Lissu ni utapeli wa kuzima ishu yake ya kuomba Gari kutoka kwa CCM watu waliona ni jambo la uzushi tu.
baada ya kuvuja taarifa ya Lissu kuomba Nissan Y622 walikuja na kampeni ya michango ya kumnunulia Lissu gari jipya la kuzima ishu ile ionekane ni uzushi.
Taarifa ni...
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
Mimi sitaki kusema mengi, jionee mwenyewe
Pia soma:
Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo
CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.