Mvumbuzi wa Zimbabwe Awasilisha Gari la Umeme Linalojiendesha Bila Kuchaji: Mapinduzi Katika Teknolojia ya Magari
Mvumbuzi wa Zimbabwe, Maxwell Chikumbutso, ameunda gari la kwanza la umeme duniani linalojiendesha kwa radio wave energy technology, likivunja kanuni za kawaida za magari ya umeme...
Kampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu.
Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na Xiaomi na kutengeneza series ya iCar mbalimbali ikiwemo SUV V23, iCar V25, iCar 03 na iCar GT zikiwa...
Kampuni ya Nyobolt ya Uingereza imefanikiwa kutengeneza betri ya gari la umeme inayoweza kuchaji kutoka 10% hadi 80% kwa dakika nne na sekunde 37. Mafanikio haya yanaashiria hatua kubwa katika kupunguza muda wa kuchaji magari ya umeme, ikilinganishwa na supercharger ya Tesla ambayo inachaji kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.