Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Dar es Salaam lenye shule za sekondari za umma 179 zenye wanafunzi 250,000 zina vitabu elfu 82 tu vya somo la lugha ya kiingereza, somo la...